Victoria Kimani kutoka Kenya na Mr Flavour kutoka Nigeria
walitumbuiza kwenye Jukwaa la Coke Studio Africa msimu wa pili
unaofanyika Nairobi, Kenya na kufanya fusion ya wimbo wa Mr Flavour ‘Ada
Ada’.
Coke Studio Africa inawakutanisha wasanii wa Afrika Mashariki,
Magharibi na Afrika ya Kati na kuwapa nafasi ya kuimba LIVE nyimbo zao
kwa kushirikiana. Kutoka Tanzania wapo wasanii kama Joh Makini, Vannessa
Mdee, Shaa na Diamond wamefanya collabo na wasanii wengine wakubwa.
Unaweza kuiangalia Coke Studio kupitia TBC1 kila Jumapili saa tatu
usiku, na hivi punde utaanza kuisikia na kushiriki kwa kuchangia kupitia
100.5 Times Fm Radio.
Post a Comment