Ajali:- Basi la Simba Mtoto lagongana uso kwa uso na lori Daraja la Wami leo.


Basi la Simba mtoto linalofanya safari zake kati ya Dar na Tanga  limegongana uso kwa uso na Lori la mizigo katikati ya Daraja la Mto Wami mkoani Pwani.
 
Dereva wa lori hilo amefariki papo hapo na wengine kujeruhiwa.
 

Post a Comment

Previous Post Next Post