Habari zilizotufikia hivi punde kutoka
mkoani Tabora ni kwamba basi la NBS lililokuwa linatoka jijini
,Mwanza,limegonga punda hivi punde na kupinduka katika eneo la Nzega
Ndogo.
Kuna taarifa kuwa kuna vifo vimetokea,taarifa kamili tutakuletea hivi punde,endelea kutembelea blog hii
Post a Comment