
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Abdallah Mwakimkabidhi Kombe la
Ubingwa wa Kombe la Karume Nahodha wa timu ya Polisi Ndg, Mohammed
Kassim, baada ya timu yake kuibuka na ushindi dhidi ya timu ya Rangers
kwa vikapu 80--76.mchezo huo uliofanika uwanja wa gymkhana.na
kuhudhuriwa na Mlezi wa michuano hiyo Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar
Mama Shadya Karume ,amekuwa mfadhili wa michuano hiyo kwa muda mrefu.
tgangu kuazishwa kwake.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Abdalla Mwinyi Khamis akitowa
nasaha zake kwa washiriki wa michuano ya Karume Cup, baada ya mchezo wa
fainali kati ya Rangers na Polisi uliofanyika uwanja wa gymkhana

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Zanzibar (BMZ) Bi. Shery Khamis
akielezea michuano hiyo na kuzipongeza timu zilizoshiriki michuano ya
mpira swa Kikapu Kombe la Karume wakati wa maadhimisho ya mchezo wa
fgainali kati ya Rangers na Polisi. 

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Zanzibar Bi Shery Khamis akimfahamisha
kitu Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Shadya Karume wakati
wakiangalia mchezo wa Fainal ya Kombe la Karume uliofanyika uwanja wa
gymkhana kulia Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume
Mama Fatma Karume wakifuatilia mchezo huo uliotoa Bingwa wa Karume Cup
timu ya Polisi Zanzibar kwa ushindi wa vikapu 80--76.

Washiriki wa michuano ya Karume Cup wakifuatilia mchezo wa fainali kati ya Polisi na Rangers, uliofanyika uwanja wa gymkhana.


Post a Comment