Maziwa yawatoa ufukara wafugaji Senegal


Ingawa maziwa ya unga hutumiwa kote barani Afrika, kwa jumla, wafugaji katika nchi nyingi hukabiliwa na shida nyingi katika kuuza maziwa yao.
Mambo sio tofauti nchini Senegal.
Licha ya taifa hilo kuwa na ng'ombe wengi hata kuyashinda mataifa kadha barani Ulaya, kiwango cha maziwa kinachopatikana ni cha chini mno.
Lakini miaka minane iliyopita, kampuni moja ilianza mradi wa kuchukua maziwa kutoka vijijini.
Alex Mureithi anaangazia biashara hiyo iliyofanikiwa mno.


Post a Comment

أحدث أقدم