Mitandao nchini Nigeria imeripoti kuzaliwa kwa mtoto ambaye ameshika Kitabu cha Quran takatifu mkononi. Mtoto huyo aliyepewa jina la Ismail amezaliwa kanisani katika eneo la Oniyanrin huko Ibadan nchini Nigeria.
Ripoti zinasema mwanamke aliyejifungua mtoto huyo alitupa kitabu hicho baada ya kukigundua mkononi kwa mtoto akifikiria ni mambo ya kishirikina na baadae ikagundulika ni kitabu kidogo cha Quran chenye kurasa 114 huku sheikh akisema mbali na kitabu hicho kuwa kidogo sana maandishi yake yalikuwa yanasomeka.
Hii ni picha ya mtoto huyo akiwa na Quran takatifu mkononi.
إرسال تعليق