Muigizaji mTanzania alieigiza Filam ya ''Going Bongo'' Ernest Napoleon Anaomba kura zenu.!

Kuna kama masaa MA4 Tu yaliobaki kumpigia kura Mtanzania Online

Ernest Napoleon ni Mtanzania MUIGIZAJI anaeishi San Francisco, amefanya movie inayoitwa Ernest Napoleon bit.ly/goingbongoitunes.

Hivi sasa yupo kwenye mchakacho wa kushirikishwa katika filamu ya kampuni ya Forest Whitaker inayoitwa “The Driver”.

Ili kufanikiwa kwenye filamu hiyo, alikuwa anahitaji kura za waTanzania na waKenya kwa ujumla ili kumfikisha Shindano hilo.

Tunaomba msaada wenu wa ku SHARE habari hii pamoja na maelekezo ya jinsi ya kunipigia kura:
1) Bonyeza link hiyo hapo Bit.ly/castErnest kisha una log in kwa kutumia Facebook account.
2) Unabonyeza "newest" Unasukuma kidogo.
3) Unaibeba picha (drag) hadi kwenye kibox kilichopo juu na kuipachika.
p.s: tumia computer badala ya simu kuvote itapendeza zaidi

Tafadhalini fata maagizo ili kumnyanyua Mtanzania mwezetu, kwani kesho ndio mwisho wa kuchukua mahesabu ya upigaji kura yako

Vote now.

Angalia Movie yake Going Bongo on Trailer

Post a Comment

Previous Post Next Post