Kuna kama masaa MA4 Tu yaliobaki kumpigia kura Mtanzania Online
Ernest Napoleon ni Mtanzania MUIGIZAJI anaeishi San Francisco, amefanya movie inayoitwa Ernest Napoleon bit.ly/goingbongoitunes.
Hivi sasa yupo kwenye mchakacho wa kushirikishwa katika filamu ya kampuni ya Forest Whitaker inayoitwa “The Driver”.
Ili kufanikiwa kwenye filamu hiyo, alikuwa anahitaji kura za waTanzania na waKenya kwa ujumla ili kumfikisha Shindano hilo.
Tunaomba msaada wenu wa ku SHARE habari hii pamoja na maelekezo ya jinsi ya kunipigia kura:
1) Bonyeza link hiyo hapo Bit.ly/castErnest kisha una log in kwa kutumia Facebook account.
2) Unabonyeza "newest" Unasukuma kidogo.
3) Unaibeba picha (drag) hadi kwenye kibox kilichopo juu na kuipachika.
p.s: tumia computer badala ya simu kuvote itapendeza zaidi
Tafadhalini fata maagizo ili kumnyanyua Mtanzania mwezetu, kwani kesho ndio mwisho wa kuchukua mahesabu ya upigaji kura yako
Vote now.
Angalia Movie yake Going Bongo on Trailer
إرسال تعليق