Bondia Azizi Rashid kushoto akipambana
na Azizi Abdallah wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa
musoma bar tandika maguruwe Abdallah alishinda kwa point mpambano uho
picha na SUPER D BLOG
Bondia Hassan Rajabu kushoto
akipambana na Said Wigo wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi
wa musoma bar tandika maguruwe mpambano huo ulisha kwa droo picha na SUPER D BLOG
Bondia Amani Bariki kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ally Mustafa wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe Bariki alishinda kwa point mpambano huo uliokuwa wa raundi nane Picha na SUPER D BLOG |

Bondia Shomari Mirundi |
Bondia Ibrahimu Class ' King Class Mawe' akimpaka mafuta bondia Shomari Mirundi kwa ajili ya mpambano wake na Suma Ninja uliokuwa ufanyike siku ya Nyerere Day ambapo bondia Ninja amekimbia kipigo hicho kwa kuingia mitini |
Bondia Ibrahimu Class ' King Class Mawe' akimfunga glove bondia Shomari
Mirundi kwa ajili ya mpambano wake na Suma Ninja uliokuwa ufanyike siku
ya Nyerere Day ambapo bondia Ninja amekimbia kipigo hicho kwa kuingia
mitini
Post a Comment