PAC yajadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2012 baada ya ripoti ya CAG, kwa shirika la bima la taifa (NIC)


PIX 2
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Zitto Kabwe akiongoza kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).
PIX 4
PIX 5
Mbunge wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Ismail Rage akichangia mada wakati wa kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam, kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).
PIX 6
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Bima la Taifa (NIC) Dkt. Edmund Mndolwa (kushoto) akijibu maswali toka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali kwa lengo la kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).
PIX 8
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Bw. Justine Mwandu akichangia mada kuhusu kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).
 PIX 9
Baadhi ya Wabunge wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakichangia mada wakati wa Kamati ya kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG). kamati iliyofanyika siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam.
PIX 11
Wabunge na wadau wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali wakati wa kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG). Kamati hiyo ilifanyika siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam.
PIX 12

Post a Comment

أحدث أقدم