Naibu
Waziri wa Fedha Adam Malima, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPF
Bwana Ramadhani Kija(watatu kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bwana
William Erio(kulia) wakimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
kuzindua jengo la kitega uchumi la PPF mjini Mwanza leo jioni.
Mkurugenzi
Mkuu wa PPF Bwana William Erio akitoa maelezo kwa Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete ndani ya mgahawa uliopo katika jengo jipya la kitega
uchumi la PPF muda mfupi baada ya kulizindua rasmi mjini Mwanza
leo.Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo.
Post a Comment