Waziri wa Habari Utamaduni Utalii
na Michezo Zanzibar Said Ali Mbarouk amewateua Wajumbe watatu kuwa
Wajumbe wa Baraza la Taifa la Michezo la Zanzibar.
Wajumbe hao ni Ndugu Ameir Mohamed Makame kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.
Wengine ni Hassan Kificho kutoka Idara ya Watu wenye Ulemavu na Khamis Abdallah Said kutoka Wadau wa Michezo.
Uteuzi huo umeanza Octoba 10, 2014
IMETOLEWA NA MAELEZO ZANZIBAR
Post a Comment