TFF yatimiza miaka 50 ya uanachama FIFA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo (Oktoba 8 mwaka huu) linaadhimisha miaka 50 ya kujiunga na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
Katika kuadhimisha siku hii TFF ilipanga kufanya tafrija fupi ya kuwaenzi wale wote waliotoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania katika kipindi hicho cha miaka 50.
Hafla hii itafanyika katika siku nyingine itakayopangwa. Orodha kamili ya watunukiwa inapatikana kwenye hiki kiambatanisho:
VIONGOZI WA KITAIFA
1. Mheshimiwa Mwl.Julius Kambarage Nyerere
2. Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi
3. Mheshimiwa Benjamin William Mkapa
4. Mheshimiwa Dr.Jakaya Mrisho Kikwete
5. Mheshimiwa Abeid Amani Karume
6. Mheshimiwa Amani Abeid Karume
7. Mheshimiwa Idris Abdul Wakil
8. Mheshimiwa Aboud Jumbe Mwinyi
9. Mheshimiwa Dr.Salmin Amour
10. Mheshimiwa Dr.Mohamed Shein

VIONGOZI WA KIMATAIFA
11. Sepp Blatter
12. Issa Hayatou
13. Abdel Aziz Abdallah Salem/Ydnekatchew Tessema

WENYEVITI/MARAIS FAT/TFF
14. Maggid
15. Ali Chambuso
16. Said Hamad El Maamry

Post a Comment

أحدث أقدم