Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akikabidhi Kombe kwa kiongozi wa timu ya
Mshikamano,ambapo timu hiyo imenyukwa goli moja dhidi ya timu ya
Amani,mchezo huo wenye lengo la kuimarisha na kudumuisha amani na
mshikamano tulionao umefanyika katika Uwanja wa Taifa,jijini Dar na
kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa dini na serikali
Waziri
Mkuu Mh.Mizengo Pinda akikabidhi Kombe kwa kiongozi wa timu ya
Amani,ambayo imeibuka kinara katika mashindano hayo kwa kuichapa timu ya
Mshikamano goli moja.Mchezo huo wenye lengo la kuimarisha na kudumisha
amani na mshikamano tulionao umefanyika katika Uwanja wa Taifa,jijini
Dar ukijumuisha viongozi mbalimbali wa dini ya Kikristo na
Kiislamu,ambapo pia viongozi wa ngazi mbalimbali wa dini na serikali
walihudhuria.
Waziri Mkuu Pinda akiwa katika picha ya pamoja na timu ya Amani
Waziri Mkuu Pinda akiwa katika picha ya pamoja na timu ya Mshikamano
Sehemu ya umati wa watu waliokuwepo kushuhudia mechi ya Amani na Mshikamano,iliyofayika jioni ya leo ndani ya uwanja wa Taifa.
Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda akizungumza jambo mbele ya wachezaji wa timu ya Amani na Mshikamano,zilizoundwa mahsusi katika kuadhimisha siku ya amani duniani,ambapo viongozi wa dini uliojumuisha Masheikh, Maimamu, Maaskofu, Wachungaji na Mapadre.Mgeni rasmi katika mchezo huo alikuwa ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,Shoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Jiji la Dar,Mh.Said Meck Sadick na Rais wa TFF,Bwana Jamal Malinzi.
Katika
mchezo huo wa kujenga amani na mshikamano uliopo nchini,Mwamuzi
msaidizi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa jiji la Dar,Mh. Said Meck Sadick na
mwamuzi aliyeshika kipyenga alikuwa ni Kamishna wa Kanda Maalumu,
Seleman Kova
Mkuu wa Mkoa wa jiji la Dar, Mh.Said Meck Sadick ambaye
alizungumza machache na kumkaribisha Mgeni Rasmi wa mchezo huo wa
Viongozi wa Dini kati ya Amani na Mshikamano,Waziri Mkuu,Mh Mizengo
Pinda pichani kulia.
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhaj Mussa ambaye ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mchezo huo,akizungumza machache.
Rais wa TFF,Bwan, Jamal Malinzi akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa jiji la Dar, Mh.Said Meck Sadick ambaye
alizungumza macheche na kumkaribisha Mgeni Rasmi wa mchezo huo wa
Viongozi wa Dini kati ya Amani na Mshikamano,Waziri Mkuu,Mh Mizengo
Pinda.
Post a Comment