Akizungumza leo na mtandao huu, Mwalimu Mkuu Msaidizi wa shule hiyo, Gabriel Mselemu, alisema ni wanafunzi 10 tu ndiyo walioweza kufika shuleni kati ya wanafunzi themanini baada ya basi kukamatwa Ijumaa na kupelekwa kituo cha polisi cha Oyster Bay.
Kujua mengi tembelea www.globaltvtz.com
Post a Comment