BASI LA WANAFUNZI WALEMAVU SINZA LAKAMATWA, WASHINDWA KWENDA SHULE

Mwalimu Mkuu Msaidizi, Gabriel Mselemu, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Walimu wakiwa darasani na wanafunzi wawili.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa darasani.
Moja ya sehemu za shule hiyo ikiwa kimya.
Bango la shule hiyo.
WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Sinza Maalumu (walemavu wa akili) iliyopo Kijitonyama, Dar es Salaam, jana na leo wameshindwa kwenda shule kutokana na basi la shule yao kukamatwa na askari wa usalama barabarani maeneo ya Kinondoni baada ya dereva na askari kushindwa kuelewana.
Akizungumza leo na mtandao huu, Mwalimu Mkuu Msaidizi wa shule hiyo, Gabriel Mselemu, alisema ni wanafunzi 10 tu ndiyo walioweza kufika shuleni kati ya wanafunzi themanini baada ya basi kukamatwa  Ijumaa na kupelekwa kituo cha polisi cha Oyster Bay.
Kujua mengi tembelea www.globaltvtz.com

Post a Comment

أحدث أقدم