November 29, haitakumbwa kwenye maisha ya Diamond Platnumz na
familia yake pekee, bali pia kwenye muziki wa Tanzania na Afrika
Mashariki kwa ujumla, baada ya hitmaker huyo wa ‘Number One’ kunyakua
tuzo tatu kwenye tuzo za Channel O.
Diamond, Salam, Babutale na Vanessa Mdee wakiwa na tuzo
Diamond alikuwa ametajwa kwenye vipengele vinne. Vipengele hivyo ni pamoja na Most Gifted East Video, Most Gifted Afro Pop Video na Most Gifted Newcomer.
Kwenye tuzo hizo Diamond amefanikiwa kuwapiku wasanii nguli wa Afrika wakiwemo Iyanya, Davido, Flavour, Mafikizolo na Sauti Sol.
Ushindi huo umepokelewa kwa furaha kubwa na Watanzania wakiwemo wasanii wenzake.
“@diamondplatnumz wow congrats bro 3rd award already!! #cocobaby,” ameandika msanii wa Nigeria, Waje.
Hitmaker wa Doc Shebeleza, Casper Nyovest naye amenyakua tuzo tatu, Most Gifted South Video, Most Gifted Male Video Doc na tuzo kubwa ya usiku huo, Most Gifted Video of the Year.
Hii ni orodha nzima ya washindi:
Most Gifted Video of the Year
Doc Shebeleza – Casper Nyovest
Most Gifted Male Video
Doc Shebeleza – Casper Nyovest
Most Gifted Female Video
Eminado – Tiwa Savage
Most Gifted Afro Pop Video
Number One – Diamond Platnumz
Most Gifted South Video
Doc Shebeleza – Casper Nyovest
Most Gifted East Video
Diamond
Most Gifted West Video
‘Turn Up’ – Olamide
Most Gifted duo/group/featuring
Pull Over – KCEE f/ Wizkid
Most Gifted Kwaito
Uhuru ft Oskido & Professor
Most Gifted RnB Video
‘Crazy But Amazing’ – Donald
Most Gifted Hip hop Video
Congratulate – AKA
Most Gifted Dance Video
Ngoku – Busiswa
Most Gifted Newcomer
Diamond Platnumz
Most Gifted Ragga Dancehall
Buffalo Souljah
Diamond, Salam, Babutale na Vanessa Mdee wakiwa na tuzoDiamond alikuwa ametajwa kwenye vipengele vinne. Vipengele hivyo ni pamoja na Most Gifted East Video, Most Gifted Afro Pop Video na Most Gifted Newcomer.

إرسال تعليق