Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama
cha Mapinduzi Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi CCM katika viwanja vya
Ofisi ya Mkoa Amani leo alipofika kuzungumza na Mabalozi na wenyeviti
wa maskani katika mfululizo wa ziara zake za mikutano ya kuimarisha
Chama katika Mikoa ya Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama
cha Mapinduzi Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi CCM katika viwanja vya
Ofisi ya Mkoa Amani leo alipofika kuzungumza na Mabalozi na wenyeviti
wa maskani katika mfululizo waziara zake za kuimarisha Chama Mikoa ya
Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni
katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani alipohudhuria katika mkutano wa
Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi CCM
uliowashirikisha Mabalozi na wenyeviti wa maskani katika mfululizo
waziara zake za kuimarisha Chama Mikoa ya Unguja.
Wajumbe
wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Dimani
kutoka Jimbo la Magogoni wakifuatilia kwa makini taratibu za Mkutano huo
zilizotumika kwa Viongozi wakuu wa CCM walipozungumzia masuala mbali
mbali katika ziara ya kuimarisha Chama iliyofanywa na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani.
Wajumbe
wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Dimani
kutoka Jimbo la Fuoni wakifuatilia kwa makini taratibu za Mkutano huo
zilizotumika kwa Viongozi wakuu wa CCM walipozungumzia masuala mbali
mbali katika ziara ya kuimarisha Chama iliyofanywa na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani.
Katibu
Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi Kichama
alipokuwa akihamasisha Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya
hiyo walipokuwa katika Mkutano maalum uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheinkatika ziara zake za kuimarisha Chama
katika Mikoa ya Unguja. [Picha na Ikulu.]
Mabalozi
wa Jimbo la Magogoni wakinyoosha mikono juu kushagilia wakati
walipotamulishwa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani
za CCM Wilaya ya Dimani katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani akiwa katika
mfululizo wa ziara zake za kuimarisha Chama katikaMikoaya Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea risala ya mabalozi
iliyosomwa na Balozi Kasim Hassan Haji katika Mkutano wa Mabalozi na
Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Dimani katika ukumbi wa CCM Mkoa
Amani akiwa katika mfululizo wa ziara zake za kuimarisha Chama
katikaMikoaya Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wanachi na Wanachama
wa CCM katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya
ya Dimani katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani akiwa katika mfululizo wa
ziara zake za kuimarisha Chama katikaMikoaya Unguja.
Post a Comment