Hii Ni kuhusu Jaguar kufanya remix ya ‘One Centimeter’ na Iyanya wa Nigeria, washoot na video

Baada ya Sauti Sol kumshirikisha staa wa Nigeria, Iyanya kwenye remix ya hit single yao ‘Sura yako’, staa mwingine wa Kenya naye amemshirikisha Iyanya kwenye remix ya wimbo wake.
Jaguar n Iyanya
Jaguar amempa shavu Iyanya kwenye remix ya single yake ya ‘One Centimeter’ ambayo wameshoot na video.
Kupitia Instagram Iyanya ameshare picha akiwa na Jaguar na kuandika, “One centimeter remix…shooting with my bro @jaguar.”

Post a Comment

أحدث أقدم