Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi semina ya mafunzo ya Kiislamu
(IJITIMAI) iliyofunguliwa jana Novemba 7, 2014 kwenye Msikiti wa
Jabalhira, mjini Morogoro
Sehemu
ya waumini wa dini ya kiislam waliohudhuria hafla hiyo ya ufunguzi wa
IJITIMAI, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakati akiondoka
baada ya kufungua rasmi IJITIMAI hiyo katika msikiti wa Jabalhira, mjini
Morogoro. Picha na OMR
إرسال تعليق