kesho Jumamosi (Novemba
22 mwaka huu) asubuhi kwenye Uwanja wa Kumbukumbu
ya Karume kwa ajili ya
kusaka kombaini ya mkoa.
Mkusanyiko wa kusaka
kombaini hiyo kwa ajili ya timu itakayoshiriki
mashindano ya Taifa
yatakayofanyika mwishoni mwa mwezi ujao uko chini ya
Chama cha Mpira wa Miguu
Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA).
Wachezaji hao wataanza
kujaribiwa saa 1 hadi saa 5 asubuhi. Mashindano ya
Taifa yatafanyika jijini
Mwanza kuanzia Desemba 28 mwaka huu.
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO
LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA

إرسال تعليق