Ndugu
wa Marehemu Sebastian Mgimba Philipo Mgimba (katikati) akiwa amebeba
msalaba huku pembeni ndugu mwingine akiwa pamoja na picha ya marehemu
wakati wa misa fupi ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya
Kinondoni jijini Dar Es Salaam leo.
Dada
wa Marehemu Sebastian Mgimba, Mariam akiwa na ndugu zake wakati wa sala
ya mazishi iliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni leo
Rafiki wa Marehemu akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu Sebastian Mgimba mara baada ya sala fupi ya mazishi kufanyika
Baba
Mzazi wa Marehemu Sebastian Mgimba, Mzee Mgimba pamoja na Mama wakiwa na
shada la maua tayari kwa kuweka juu ya kaburi la Mtoto wao Marehemu
Sebastian Mgimba
Ndugu wa Marehemu Sebastian Mgimba wakiweka shada la Maua juu ya kaburi la Marehemu Sebastian Mgimba
Dada
wa Marehemu Sebastian Mgimba, Bi Mariam Lukaza akiwa na mumewe Johnson
Lukaza wakijiandaa kuweka shada la Maua juu ya Kaburi la Marehemu
Sebastian Mgimba katika mazishi yaliyofanyika leo katika makaburi ya
Kinondoni Jijini Dar Es Salaam.
Mama
Leoncia Lukaza akijiandaa kuweka Shada la Maua kwa niaba ya familia ya
Lukaza katika kaburi la Marehemu Sebastian Mgimba kwenye mazishi ya
marehemu Sebastiani Mgimba yaliyofanyika leo katika makaburi ya
Kinondoni jijini Dar Es Salaam.
Umati
wa Watu waliojitokeza kwaajili ya Kumpumzisha Ndugu yetu Sebastian
Mgimba katika makaburi ya Kinondoni.Picha na Josephat Lukaza - http://www.josephatlukaza.com
Marehemu
Sebastian Mgimba alifariki dunia tarehe 20 Nov 2014 nchini Malaysia,
Marehemu ameacha Mke na mtoto mmoja. Mungu ailaze Roho ya Marehemu
Mahala Pema Peponi Amin
إرسال تعليق