INASEMEKANA
WATU 11 WAMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO KWENYE AJALI ILIYOTOKEA ENEO LA KONA
KALI YA MKANYAGENI IKIHUSISHA GARI YA ABIRIA AINA YA COSTA ILIYOGONGANA
USO KWA USO NA SCANIA SEMITRELA
KWA MUJIBU WA MASHUHUDA WA TUKIO HILO WANASEMA KATIKA AJALI HIYO COSTA IMEKATIKA KATI KWA KATI NA WATU WALIOFARIKI WAPO KWENYE COSTA HIYO
COSTA INAYOFANYA SAFARI ZAKE TOKA TANGA MJINI KUELEKEA LUSHOTO NA SCANIA ILIYOKUWA INATOKA MKANYAGENI,
HABARI ZINASEMA IDADI HIYO YA MAITI INAWEZA ONGEZEKA MUDA WOWOTE
KWANI HALI ZA MAJERUHI NI MBAYA MNO AMBAPO CHANZO CHA AJALI KIMESEMWA
KUWA NI MWENDO KASI
Post a Comment