Wafuasi
wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa
Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo huku wakipaza sauti baada Sheikh Ponda kushinda rufaa ya kupinga hukumu ilitolewa na Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kuvamia na kujimilikisha kwa nguvu kiwanja cha Markaz
Chang’ombe jijini Dar es Salaam. Hukumu
hiyo ilitolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi Victoria
Nongwa, Mei 9, 2013. (Picha na Francis Dande)
Wafuasi
wa Sheikh Ponda.
Wafuasi
wa Sheikh Ponda Issa
wakitoka Mahakamani.
Wafuasi
wa Sheikh Ponda Issa
wakitoka Mahakamani.
Gari la Polisi.
Wafuasi
wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa
Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam huku wakipaza
sauti.
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa
Ponda (wa pili kushoto) akitoka katika chumba cha Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kushinda rufaa ya kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kuvamia na kujimilikisha kwa nguvu kiwanja cha Markaz
Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa
Ponda akiwa chini ya ulinzi wa askari wa Magereza wakati akitoka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh
Ponda Issa Ponda akitoka katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam baada
ya kushinda rufaa ya kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu ya kuvamia na kujimilikisha kwa nguvu kiwanja cha Markaz Chang’ombe
jijini Dar es Salaam.
Wafuasi
wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa
Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam huku wakipaza sauti baada ya kushinda kesi iliyokuwa ikimakabili.
Wafuasi
wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa
Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam huku wakipaza
sauti baada ya Sheikh Ponda kushinda kesi iliyokuwa ikimakabili.

sauti baada ya Sheikh Ponda kushinda kesi iliyokuwa ikimkabili.
Mfuasi wa Sheikha Ponda akitoka Mahakamani.
Ulinzi ukiwa umeimarishwa nje ya Mahakama Kuu Dar es Salaam wakati wa kesi ya Ponda.
Wafuasi
wa Sheikh Ponda Issa
wakiwa wamelizunguka basi la Magereza alilokuwa amepanda Sheikh Ponda wakati akielekea mahabusu ya gereza la Keko.
Wafuasi
wa Sheikh Ponda Issa
wakilifukuza basi la Magereza alilokuwa amepanda Sheikh Ponda wakati akielekea mahabusu ya gereza la Keko.
إرسال تعليق