Sikiliza Audio ya Mdahalo wa Maoni ya Wananchi na Katiba inayopendekezwa

Mdahalo huo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere umesimamishwa kwa muda ili kuhakishia salama, sababu  kuna vijana wameibuka na mabango yao ndani ya mdaahalo huo wa Maoni ya Wananchi na Katiba inayopendekezwa, wakatika Jaji Warioba kuichambua Rasimu ya katiba ya Jamuhuri ya Muunagano waTanzania, Siku ya Jumapili Nov 2, 2014 Ubungo Plaza Jijini Dar Es Salaam.
Voice Via ITV 

Post a Comment

Previous Post Next Post