Mwananchi huyu akikatisha njia kwa kupanda ukingo wa barabara unaogawa
barabara mbili katika maeneo ya mwanakwerekwe na kusababisha msongamano
wa magari na kuhatarisha watumiaji wa bara hiyo inaweza kusababisha
ajali na kukiuka sheria za barabara kupita sehemi isiyo husika kama hii.
Tusema dereva huyu kweli ana maadili ya utumizi wa barabara na ana
leseni halali
إرسال تعليق