Hapa ni mkoani mbeya wilaya ya Momba jimbo la Mbozi mashagharibi mji wa Tunduma almaarufu kama Chadema Town mji huu upo border ya Zambia na Tanzania.
Wanachadema wa mji huu wameazimia kwa pamoja kuwa kuanzia tarehe 1-11-2014 kila mwanachadema aanze kuvaa skafu, kofia, shati ama nguo yoyote ya chadema kila anapokuwa kwenye majukumu yake.
Azimio hilo limeanza kazi leo hii na kama unavyoona kwenye picha hapa ni moja ya sehemu ya mji huo watu wakiendelea na majukumu yao ya kila siku huku wakiwa wamevalia sare za chadema.

WAKAZI WA MBEYA WILAYA
MOMBA JIMBO LA MBOZI MAGHARIBI MJI WA TUNDUMA WAAZIMIA KWA PAMOJA KUVAA
SARE ZA CHADEMA
Hapa ni mkoani mbeya wilaya ya Momba jimbo la Mbozi mashagharibi mji wa
Tunduma almaarufu kama Chadema Town mji huu upo border ya Zambia na
Tanzania.
Wanachadema wa mji huu wameazimia kwa pamoja kuwa kuanzia tarehe
1-11-2014 kila mwanachadema aanze kuvaa skafu, kofia, shati ama nguo
yoyote ya chadema kila anapokuwa kwenye majukumu yake.
Azimio hilo limeanza kazi leo hii na kama unavyoona kwenye picha hapa ni
moja ya sehemu ya mji huo watu wakiendelea na majukumu yao ya kila siku
huku wakiwa wamevalia sare za chadema.
Copy n Win at: http://bit.ly/copyandwin
Copy n Win at: http://bit.ly/copyandwin
Post a Comment