Wakenya
wamemkalia kooni Rais wao kwa kuonekana akifurahia Selfie na binti
mmoja huko Abu Dhabi. Wakenya wanadai si sawa rais kujienjoy katika
kipindi ambacho alitakiwa kuwa nyumbani wakati huu mgumu wanapouawa na
magaidi.
Wakenya wamemkalia kooni Rais wao kwa kuonekana akifurahia Selfie na binti mmoja huko Abu Dhabi
Hisia
0
إرسال تعليق