Wananchi wakiagalia magari yaliogongana katika barabara ya
mwanakwerekwe, katika ajali hiyo iliotokea katika moja ya njia ya
kukatisha kurudi sokoni kwerekwe gari ndogo ikiwa katika muelekeo wa
kukata kona hiyo na kustukia kugongwa na gari ya pick up ikiwa na
shehena ya saruji, katika ajali hiyo hakuna mtu akiyejeruhiwa ila
kulikuwa na uharibifu wa gari ya salon upande wa dereva. kama
inavyoonekana.
إرسال تعليق