Warsha Kupitia Sheria ya Manunuzi ya mwaka 2014


 
Kamishna wa Uhakiki Mali na Mitaji ya Umma Zanzibar,Ndg.Seif Shaaban Seif, akifungua warsha ya siku moja juu ya rasimu ya sheria ya manunuzi ya Zanzibar ya mwaka 2014, iliofanyika hoteli ya Hifadhi mjini Chakechake, kulia ni meneja wa kampuni ya Agaba Muhairwe advocates ya Uganda,Ndg. Edgan Agaba Gerrad na kushoto ni Afisa Mdhamini wizara ya Fedha Pemba Ndg.Bakar Haji Bakari 
 Baadhi ya Maofisa Ununuzi wa Taasisi za Umma na Maofisa Wadhamini  wakishiriki Warsha wakimsikiliza muwakilishaji Mada ya Rasimu ya Sheria ya Manunuzi kwa mwaka 2014,warsha hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zssf Chake Pemba.
Afisa Mdhamini Wizara ya Mifugo na Uvuvi Pemba Bi.Mayasa Hamad Ali, akichangia rasimu ya sheria ya manunuzi ya mwaka 2014, iliowasilishwa kwenye warsha ya siku moja, iliofanyika hoteli ya hifadhi mjini Chake chake

Post a Comment

Previous Post Next Post