Zitto Kabwe afunguka Haya Juu ya Mahakama Kuzuia Taarifa ya PAC - Asema haya

'Bunge haliwezi kupewa zuio wakati mkutano ukiendelea. Injunction itoke au isitoke Taarifa ya PAC itaingia. Majaji wasome Katiba na Sheria ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge' Zitto

Post a Comment

أحدث أقدم