‘Coco Baby’ ya Waje ft. Diamond ndio wimbo unaoongoza kuombwa zaidi kwenye Radio nchini Nigeria kwa sasa – Star Fm

Collabo ya msanii wa kike wa Nigeria Waje na staa wa Bongo, Diamond Platnumz imeonekana kuwa na mapokeo mazuri zaidi nchini Nigeria.
Kwa mujibu wa kituo cha radio Star Fm 91.5 Ibadan, ‘Coco Baby’ ndio wimbo unaoongoza kwa kuombwa zaidi na wasikilizaji nchini Nigeria kwa sasa.
star fm
Diamond alipost tweet ya kituo hicho na kuandika:
“S/O to the all Media and fans… i believe that, your love and Support are what made #Coco_Baby to be there… ( Shukran sana kwa Mashabiki na wadau wote, naamini Upendo na Support yenu ndio imefanya nyimbo hii ya #Coco_Baby kuwepo hapo )”
Waje naye alipost tweet hiyo, na kwenye post nyingine aliandika:
waje

Post a Comment

أحدث أقدم