Lori la mafuta limekata tela lenye namba za usajili T 172ABT na
kupibnduka jioni hii katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela
jijini Dar es Saam kwa kile kilichoelezwa na baadhi ya mashuhuda kuwa ni
mwendo kasi aliyokuwa nao dereva wa lori hilo aliyekuwa akikata kona
akitokea mjini Barabara ya Nyerere kwenda barabara ya Kawawa.
Mafuta aina ya petroli yakimwagika
Polisi Usalama barabarani wakilinda eneo hilo
Tela hilo T 172ABT likiwa chini
إرسال تعليق