GOOD NEWS; DIAMOND (@diamondplatnumz) kuwa GUEST ARTIST kwenye show ya ZARI (@ZariTheBosslady)

10843730_1563715713863857_897129390_n
Kutoka kwenye Account zake za Twitter na Facebook mwanamama ZARI The Boss Lady ameonekana kushare poster hii ya show yake ya White Party itakayofanyika Tarehe 18 mwezi huu kule kwao UGANDA.
Post hiyo ilikuwa inasema hivi namnukuu
“Good morning world. #Reminder the #ZariAllWhiteCirocParty is going down on the 18th of December 2014 @guvnoruganda
30k at the door, $400 for table bookings 0772565056…. In the house we will have our very own latest CHOMA2014 award winning Artist #DiamondPlatnumz, you can’t miss this.”

Post a Comment

أحدث أقدم