
Katibu Mtendaji wa Baraza
la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Dk Oscar
Kikoyo akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es salaam
jana juu ya hali ya usafiri kipindi cha siku kuu za Krismas na mwaka
mpya ambapo ametahadharishja abiria kuto kukubali kutozwa nauri za juu
na pindi ikitokea hivyo Sumatra ipewe taarifa haraka. Soma taarifa
kamili hapa chini. (Source Father Kidevu Blog).
Taarifa Kwa Waandishi Wa Habari -Usafiri Kipindi Cha Chrimass 2014 Na Mwaka Mpya .
إرسال تعليق