Marekani
imesema kuwa bado inatafakari matokeo ya shambulio la anga
lililofanyika Kusini mwa Somali kumlenga kiongozi mwandamizi wa kundi la
wapiganaji wa Al Shabab.
Shambulio hilo limetekelezwa siku chache tangu mtu anayedhaniwa kuwa ni mfuasi wa kundi hilo kushambulia kambi ya majeshi ya Somalia na Jeshi la Muungano wa Afrika.
إرسال تعليق