Hizi Ndio Ujumbe Wa Shukrani kutoka Kwa Happiness Watimanywa Kwenda Kwa Watanzania Wote

http://photos-h.ak.instagram.com/hphotos-ak-xfa1/10848401_392444184255063_2049023228_n.jpgNdugu zangu.. Muda tuliokua tunausubiri kwa hamu umewadia, wish me LUCK! Zoezi la kupiga kura sasa limefungwa rasmi. Sina jinsi yoyote ile ambayo naweza kuwashukuru wote lakini kila mmoja kwa namna yoyote aliyoshiriki kufanikisha safari yangu hapa, kunipigia kura, kuhamasisha wengine, kuniombea, watu binafsi, makundi, vyombo vya habari, marafiki na hata wale ambao hawapendi mashindano na wamenisema vibaya, nawashukuru sana. Wote mmenijenga, mmenipa nguvu, kwa kipindi chote mmekuwa nami na hata kwa dakika moja sijajiskia mpweke. Asanteni sana sana sana. Ni wazi kwamba watanzania tumeonyesha umoja wa hali ya juu sana. Tukiendelea na umoja huu kwa mambo mema tunaweza kuibadili kabisa nchi yetu ikawa bora na mfano wa kuigwa kwa mataifa mengine. Tumefanya part yetu, sasa imebaki ya majaji. Mwakilishi wenu nakaribia kupanda stejini so usicheze mbali na TV yako. TBC, E! na www.misssworld.com wataonyesha LIVE. Thank you. Nawapenda sana. Bless. #Happiness4MissWorld

 
Ndugu zangu.. Muda tuliokua tunausubiri kwa hamu umewadia, wish me LUCK! Zoezi la kupiga kura sasa limefungwa rasmi.  Sina jinsi yoyote ile ambayo naweza kuwashukuru wote lakini kila mmoja kwa namna yoyote aliyoshiriki kufanikisha safari yangu hapa, kunipigia kura, kuhamasisha wengine, kuniombea, watu binafsi, makundi, vyombo vya habari, marafiki na hata wale ambao hawapendi mashindano na wamenisema vibaya, nawashukuru sana. Wote mmenijenga, mmenipa nguvu, kwa kipindi chote mmekuwa nami na hata kwa dakika moja sijajiskia mpweke. Asanteni sana sana sana.  Ni wazi kwamba watanzania tumeonyesha umoja wa hali ya juu sana. Tukiendelea na umoja huu kwa mambo mema tunaweza kuibadili kabisa nchi yetu ikawa bora na mfano wa kuigwa kwa mataifa mengine. Tumefanya part yetu, sasa imebaki ya majaji. Mwakilishi wenu nakaribia kupanda stejini so usicheze mbali na TV yako. TBC, E! na www.misssworld.com wataonyesha LIVE. Thank you. Nawapenda sana. Bless.  #Happiness4MissWorld
A photo posted by Happiness Watimanywa (@happinesswatimanywa) on

Post a Comment

أحدث أقدم