Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa
(kushoto) akimsikiliza aliyewahi kuwa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Ali Ameir Mohammed, alipomtembelea nyumbani kwake, Kichaviani, jimbo la
Donge, visiwani Zanzibar leo Jumamosi Desemba 27, 2014. Lowasa yuko
Zanzibar kwa mapumziko ya Krismas na Mwaka mpya.
Lowasa, akikaribishwa na Ali Ameir
Post a Comment