Mamia ya watu wamepiga kura kwa amani mkoani Arusha.

Mamia ya wananchi wa maeneo mbalimbali mkoani Arusha wamejitokeza kupiga kura kwa amani na utulivu.
Amani na utlivu ilitawala kuanzia mwanzo hadi mwisho wa kupiga kura  tofauti na ilivyozeleka ambapo watati wa uchaguzi hasa katika jiji la  Arusha kumekuwa na hekaheka kubwa jambo ambalo limeelezwa na baadhi ya wananchi kuwa ni matokeo ya jamii kuaanza kupata uelewa  na masuala ya kisiasa na kutambua haki zao.
 
Hata hivyo baadhi ya wananchi wanatoa ushauri kwa tume ya uchaguzi.
 
Mmoja wa wasimamizi anaelezea sababu ya kukosekana kwa mpangilio wa majina

Post a Comment

أحدث أقدم