Mratibu
Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez
akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha aliyeteuliwa hivi karibuni, Daud
Felix Ntibenda alipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia miradi
mbalimbali inayofadhiliwa na mashirika ya Umoja wa Mataifa mkoani humo.
Mtaalam
wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania Hoyce
Temu (kushoto) akisaini kitabu cha wageni wakati Mkuu wa Mkoa na Mratibu
Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa wkibadilishana mawazo kabla ya
kuanza mazungumzo yao.
Mkuu
wa Mkoa wa Arusha aliyeteuliwa hivi karibuni, Daud Felix Ntibenda
akizungumza na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na
mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini,
Alvaro Rodriguez (katikati) aliyeambatana na Mtaalam wa Mahusiano na
Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania Hoyce Temu.
Mratibu
Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez katika
picha ya pamoja mara baada ya mazungumzo na uongozi wa mkoa wa Arusha
ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Daud Felix Ntibenda (kulia) na kushoto ni
Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha, Addo Mapunda.
Mratibu
Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez
aliyeambatana na Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa
(UN) Tanzania Hoyce Temu (kushoto) katika picha ya pamoja na uongozi wa
mkoa wa Arusha.
Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha, Addo Mapunda akifafanua jambo
kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa
Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro
Rodriguez. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Daud Felix Ntibenda.
إرسال تعليق