Naibu Waziri Mhe. January Makamba azindua Kundi la Kaone Sanaa Group Dar Live
Hisia0
Naibu
Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia .Mhe. January Makamba
amezindua Kundi la Kaone Sanaa Group Dar Live usiku huu, hapa akiwa
katika picha ya pamoja baada ya uzinduzi huo.
Wasanii wa Kaole wakiwa stejini
...akiongea na wanahabari mara baada ya kuwasili Dar Live
...akiwa katika picha ya pamoja na Kaone
...akiongozwa na Meneja Mkuu wa Dar Live, Abdallah Mrisho kwenda meza kuu
Post a Comment