WANANCHI wa shehia ya Ndagoni Wilaya ya
Chake Chake, wakitengeneza tuta la kuzuwia maji ya Chumvi lenye urefu wa
mita 200, kwa ajili ya kuzuwia maji hayo yasiingie kwenye mashamba yao
ya mpunga, kupitia ufadhili wa Tassaf awamu ya Tatu.(Picha na Mariyam
Salim, Pemba)
إرسال تعليق