Ni Orijino Komedi( @OrijinoKomedi ) kwenye ujio mpya.. Sikiliza show hapa, nimekuwekea na picha



Show ya kwanza ya kundi la Orijino Komedi imeruka leo, sehemu hii ya kwanza utaisikia sauti na picha za Joti na Mak Regan ambapo Joti anakamatwa na sare ya Askari Polisi, maelezo yake sasa…

20141214_215822

20141214_215854




Hapa zipo za Wakuvwanga, kwenye ujio mpya kuna mawio na machweo, sikiliza kile kilichosemwa kuhusu Buguruni, Airport, Ilala na Kariakoo kwa kubonyeza play.
20141214_220748 20141214_220744

Post a Comment

Previous Post Next Post