KATIBU wa Kamati ya Mapinduzi Cup Ndg Khamis Abdalla Said, akitowa
ratiba ya Kombe la Mapinduzi Cup mbele ya waandishi wa habari za Michezo
Zanzibar katika ukumbi wa uwanja wa amaan Zanzibar, Ratiba hiyo inaaza
na michezio ya Ufunguzi, itakayofanyika tarehe 1 januari 2015.
Alhamis 1 Januari 2015
Jioni Saa 9:00 JKU vs MAFUNZO. -- KUNDI. C
Jioni Saa.11:00. POLISI VS SHABA. KUNDI . A
Usiku Saa 2:15. SIMBA VS MTIBWA. KUNDI C
Ijumaa 2 Jan 2015
Jioni saa 10:00 KMKM VS MTENDE KUNDI B
Usiku Saa 2:00 KCC VS AZAM. KUNDI B
Jumamosi 3Jan 2015.
Jioni Saa 10:00 JKU VS MTIBWA KUNDI C
Usiku Saa 2:00 YANGA VS SC.VILLA KUNDI A
Jumapili 4 Jan 2015
Jioni saa 9:00 KCC VS MTENDE KUNDI B
Jioni saa 11:00 KMK VS AZAM. KUNDI B
Usiku saa 2:15. MAFUNZO VS SIMBA KUNDI C
Jumatatu 5 Jan 2015
Jioni saa 10;00 SC VILLA VS SHABA KUNDI A
Usiku saa 2:00 YANGA VS POLISI KUNDI A
Jumanne 6 Jan 2015
Jioni saa 9:00 AZAM VS MTENDE KUNDI B
Jioni saa 11: 00 MTIBWA VS MAFUNZO KUNDI C
Usiku saa 2:15. SIMBA VS JKU KUNDI C
Jumatano 7 Jan 2015
Jioni saa 9;00 POLISI VS SC VILLA KUNDI A
Jioni saa 11:00 KCC VS KMKM KUNDI B
Katibu wa Kamati ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar Ndg Khamis Abdalla Said
akizungumza na waandishi wa habari wa michezo Zanzibar kwa kukamilika
kwa Maandalizi ya Kombe la Mapinduzi linalotarajhiwa kutimua Fumbi
Januari 1, 2015 katika Uwanja wa Amaan Zanzibar na kuzitaja timu
zitakazoshiriki michuano hiyo.
Amezitaji timu hizo sita kutoka nje ya Zanzibar na sita kutoka Zanzibar
na kusema kutakuwa na makundi matatu kila kundi litakuwa na timu
Nne.Amezitaja timu hizo kuwa Yanga, Simba,Azam,Mtibwa Sugar kutoka
Tanzania Bara na KCC, na Sport Club Villa zote kutoka Uganda, Timu za
Zanzibar zitakazoshiriki michuano hiyo KMKM, Mtende Ranger,
Shaba,Polisi,JKU na Mafunzo kutoka Zanzibar
Ameyataja makundi na timu zake
Kundi A Litakuwa na timu za SPORT CLUB VILLA, YANGA ,POLISI, SHABA.
Kundi B litakuwa na timu za KCC AZAM KMKM na MTENDE.
Kundi C litakuwa na timu SIMBA, MTIBWA, JKU, na MAFUNZO.
إرسال تعليق