Klabu ya Mbeya City Council Fc kwenye usajili wa dirisha
dogo imeongeza wachezaji na kupunguza wachezaji wengine kama ifuatavyo:
WACHEZAJI WAPYA
1.Kalyesubula Hannington – Golikipa
2.Juma Saidi Issa (Nyoso)- Beki wa Kati
3.Idrisa Rashidi- Winga
4.Fredy Cosmas- Mshambuliaji
5.Soneka Peter (U20) – Kiungo
6.Selemani Hassan (U20) – Winga.
WACHEZAJI WALIOTOLEWA KWA MKOPO
Klabu imetoa wachezaji wafuatao kwa mkopo ili wakaimalishe
viwango vyao.
1.Anthony matogolo –kwenda Panone FC
2.Saady Kipanga – kwenda Polosi Tabora
3.Ramadhani Abdu – kwenda Majimaji Songea
4.Medson Mwakatundu-U20- kwenda Rhino rangers Tabora
5.Ramadhani Kapela-U20- Kwenda Coca Cola Mbeya
6.Majid Shabani-U20- Kwenda Coca Cola Mbeya
7.Abdalah Said -U20-Kwenda Coca Cola Mbeya
8.Waziri ramadhani (U20)-Burkinafaso Fc
Post a Comment