
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mtoto Sofia
Kombo Makame aliyekimbia umbali wa kilomita nyingi kutokana na umri
wake katika mashindano ya Riadha zawadi hiyo alipewa wakati wa ufungaji wa
Mashindano ya Riadha katika Wilaya kumi za Unguja na Pemba katika
uwanja wa Amaani Studium leo Mjini Unguja,[Picha na Ikulu,]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikabidhi Kombe la Ushindi wa
Jumla kwa Kassim Hussein Saleh na fedha tasilimu Shilingi Millioni Moja
akiwakilisha wilaya ya Mjini iliyopata
medali 17 za zahabu,13 fedha na 5 za Shaba katika ufungaji wa
Mashindano ya Riadha katika Wilaya kumi za Unguja na Pemba aliyoyafunga
leo katika uwanja wa Amaani Studium (kushoto) Kaimu Waziri wa
Habari,Utalii,Utamadunu na Michezo pia Waziri wa Mifugo na Uvuvi
Abdilahi Jihadi Hassan [Picha na Ikulu.]


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Bi Sharifa
Khamis (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Riadha Zanzibar
Abdulhakim Cosmas Chasama (kushoto) baada ya kutoa nishani kwa
wakimbiaji wa mashindano ya Riadha wakati wa ufungaji katika uwanja wa
Amaan Studiam leo,[Picha na Ikulu.]

إرسال تعليق