Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wakuu wa Vikosi
vya Ulinzi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba akiwa
kisiwani huko atazindua Soko la Samaki na mboga mboga ikiwa ni katika
shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na
Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa
Chama na Serikali mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume
Pemba akiwa ziara ya kuzindua miradi mbali mbali ikiwemo Soko
la Samaki na mboga mboga Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Micheweni Kaskazini
Pemba ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa
Mifugo na Uvuvi Mohammed Said Mohammed alipowasili katika Uzinduzi wa Soko
la Samaki na mboga mboga katika Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Micheweni
Pemba leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Afisa Tawala Wilaya ya Micheweni Pemba Ahmed Khalid Abdalla pamoja na Viongozi wengine alipofika katika Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Michweni kuzindua Soko
la Samaki na mboga mboga katika Kijiji hicho leo ikiwa ni katika shamra
shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi wa
Idara ya Uvuvi katika Wizara ya Migugo na Uvuvi Mussa Aboud Jumbe alipofika katika Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Michweni Pemba kuzindua Soko
la Samaki na mboga mboga katika Kijiji hicho leo ikiwa ni katika shamra
shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi katika Wizara ya Migugo na Uvuvi Mussa Aboud Jumbe(kulia) alipofika katika Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Michweni Pemba kuzindua Soko
la Samaki na mboga mboga katika Kijiji hicho leo ikiwa ni katika shamra
shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kutoka kushoto)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dk.Kassim Gharib Juma na Naibu
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mohammed Said Mohammed,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuzindua Soko la
Samaki na mboga mboga katika Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba
leo lililojengwa na Serikali kupitia mkopo Benki ya Dunia ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dk.Kassim Gharib Juma baada ya
kulizindua Soko la Samaki na mboga mboga wakati alipotembelea sehemu za
Soko hilo leo ikiwa
ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar(wa kwanza kushoto) Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Omar Khamis na
Mkurugenzi Idara ya Uvuvi Mussa Aboud Jumbe,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiangalia sehemu ya
kufanyia minada katika Soko la Samaki na mboga mboga katika Kijiji cha
Tumbe wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba leo baada ya kulizindua rasmi
,ikiwa ni shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha cha
Tumbe wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba wakiwa katika hafla ya
uzinduzi wa Soko la Samaki na mboga mboga leo uzinduzi huo uliofanywa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar, [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi katika Wizara ya Migugo na Uvuvi Mussa Aboud Jumbe alipofika
kuangalia jenereta katika soko la Samaki na mboga mboga katika Kijiji
cha Tumbe Wilaya ya Michweni Pemba baada ya kuzindua Soko hilo leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi katika Wizara ya Migugo na Uvuvi Mussa Aboud Jumbe akitoa
maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein leo baada ya kulizindua Soko la Samaki na mboga
mboga Kijiji cha Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba wakati alipotembelea
sehemu mbali mbali za soko hilo katika shamra shamra za miaka 51 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
إرسال تعليق