Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimwapisha
George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akisaini
nyaraka wakati wa hafla fupi ya kumwapisha, George Mcheche, kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kwenye hafla hiyo iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo mchana.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimkabidhi
nyaraka za Serikali, George Mcheche, baada ya kumwapisha kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo mchana.
إرسال تعليق