Jose Mourinho Matatani, Ashtakiwa na Shirikisho la Kimataifa la Soka FA

Jose Mourinho
Bosi wa timu ya Chelsea Jose Mourinho
ameshtakiwa na shirikisho la kimataifa la soka FA kwa madai yake kwamba kuna kampeni ya chinichini inayofanywa na marefa dhidi ya timu yake
Kauli hiyo ya Mourinho aliitoa baada ya kutoridhishwa na penati ilisababisha timu yake itoke sare ya moja moja na Southampton ,mwezi uliopita mnamo tarehe 28.
Mourinho ameshtakiwa kwa utovu wa nidhamu na amepewa muda mpaka tarehe 13 ya mwezi huu kujibu tuhuma zinazomkabili.

Post a Comment

أحدث أقدم