Kombe la Mapinduzi JKU na Mtibwa Zatoka Sare ya 1 - 1

 Mchezaji wa timu ya JKU na Mtibwa wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan timu hizo zimetoka sare ya 1 - 1
 Beki wa timu ya Mtibwa akimzuiya mshambuliaji wa timu ya JKU katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa amaan. timu hizo zimetoka sare 1 - 1




 Golikipa wa Timu ya Mtibwa akiokoa moja ya mashambulio golini kwake huku beki wake akiwa tayari kumsaidia.
 Mshambuliaji wa JKU akimpita beki wa timu ya Mtibwa. wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi unaofanyika katuika uwanja wa amaan.
Mshambuliaji wa timu ya JKU akimpita beki wa timu ya Mtibwa wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi timu hizo zimetoka sare ya 1 - 1.

Post a Comment

Previous Post Next Post